Ofisi ya Marjaa Dini mkuu: Kesho tunakamilisha mwezi wa Ramadhani na Ijumaa itakua siku ya kwanza ya Idilfitri

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imesema kuwa, haujathibiti mwezi muandamo hapa Iraq na maeneo jirani baada ya kuzama jua la Jumatano (29 Ramadhani), hivyo kesho siku ya Alkhamisi tunakamilisha mwezi wa Ramadhani, na Ijumaa itakua siku ya kwanza ya Idilfitri tukufu, Mwenyezi Mungu aifanye kuwa ya kheri na baraka kwa kila mtu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: