Atabatu Abbasiyya inatoa mkono wa pongezi kwa ulimwengu wa kiislamu kwa mnasaba wa Idulfitri

Maoni katika picha
Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unatoa mkono wa pongezi kwa Imamu wa zama Msubiriwa (a.f) na Maraajii watukufu na wanachuoni pamoja na waislamu wote kwa jumla, kwa mnasaba wa Idulfitri, Mwenyezi Mungu awape afya na amani waislamu wote, tunamuomba Mwenyezi Mungu mtukufu alinemeeshe taifa letu kwa kutupa amani na utulivu na atulinde na kila aina ya shari, tunamuomba akubali ibada za waumini wote hakika yeye ni mwingi wa kusikia na mwingi wa kujibu kwa baraka za Muhammad na Aali Muhammad.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: