Kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Quráni

Maoni katika picha
Maahadi ya Quráni tukufu tawi la wanawake chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza tarehe ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano yaliyofanywa ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Idara ya Maahadi itafanya hafla kubwa ya kugawa zawadi siku ya Jumamosi (9 Shawwal 1442h) sawa na tarehe (22 Mei 2021m) saa nne asubuhi, kwenye ofisi zake zilizopo katika mji mtukufu wa Najafu/ mtaa wa Karamah jirani na ukumbi wa Kinari.

Maahadi inatoa wito kwa washindi ambao majina yao yapo katika orodha ifuatayo, wafike kuchukua zawadi zao pamoja na kuheshimu masharti ya kujikinga na maambukizi.

Kwanza: shindano la kisa cha aya:

Radhiya Abuud Abbasi.

Pili: shindano la Lu-u lu-u Manshuur:

Mshindi wa kwanza: Maryam Bahaau Dini.

Mshindi wa pili: Zainabu Adnani Hashim.

Mshindi wa tatu: Maryam Haidari Jabbaar.

Mshindi wa tatu (wamegongana): Fatuma Mustwafa Ali.

Tatu: shindano la Durru-Maknuun:

  • a- Washindi katika kuhifadhi surat Takwiir:

Mshindi wa kwanza: Huda Ihsaan Ismail.

Mshindi wa pili: Malaak Aswiil.

Mshindi wa pili (wamegongana): Ruqayyah Liith.

Mshindi wa tatu: Fatuma Sattaar.

  • b- Washindi wa kuhifadhi surat Inshiqaaq.

Mshindi wa kwanza: Mardhiyya Jaabir.

Mshindi wa pili: Fatuma Haani Muiin.

Mshindi wa tatu: Aayah Ammaar.

Nne: Mashindano ya kila wiki ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani:

  1. Samiyyah Dhwahiru Fandi Abbasi.
  2. Mannaar Jaliil Muhammad Abdu.
  3. Raziqah Jaabir.
  4. Dhuha Ayaad Mujbaas.

Tano: matokeo ya shindano la (Rabiul-Quluub):

  • A- Waliohifadhi juzuu kumi

Mshindi wa kwanza: Ruqayyah Haidari Mustwafa.

Mshindi wa pili: Batuli Qutada Muhammad Saidi.

Mshindi wa tatu: Nuru-Zaharaa Muhammad Muhammad Saidi.

Mshindi wa tatu (wamegongana): Amina Muhammad Muhammad Saidi.

  • B- Waliohifadhi juzuu tano:

Mshindi wa kwanza: Batuli Mushtaqu Ghazi.

Mshindi wa pili: Hauraa Aqiil Twaha.

Mshindi wa tatu: Ruqayyah Rashidi Jabbaar.

  • C- Kikosi cha Baraaim/ juzuu tatu:

Kwanza: walioshinda katika kuhifadhi juzuu la (1-2-3)

Mshindi wa kwanza: Fatuma Abdulhussein Swabaah.

Mshindi wa pili: Sara Khalidi Hamid.

Mshindi wa tatu: Kauthara Qassim Karim.

Pili: walioshinda katika kuhifadhi juzuu la (1-2-30):

Mshindi wa kwanza: Janaat Swadiq Ali.

Mshindi wa pili: Fatuma Haidari Hussein.

Tatu: walioshinda katika kuhifadhi juzuu la (1-29-30):

Ayatu Salaam Abdunabi.

Sita: shindano la kuhifadhi surat Israa:

Mshindi wa kwanza: Nahaad Alaa Mahadi.

Mshindi wa pili: Zainabu Hassan Sajjaad.

Mshindi wa tatu: Zaharaa Haamid Hussein.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: