Kuhitimisha semina ya mfumo wa habari za malezi

Maoni katika picha
Kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kupitia idara ya habari za malezi kimehitimisha mafunzo, ya mfumo wa uandishi wa habari.

Katika siku ya mwisho wamefanya mtihani wa mwisho katika mada walizo fundishwa, za namna ya kuandaa habari na ripoti zinazo weza kuipa jamii picha halisi ya kitu husika.

Semina hii ni hatua ya kwanza katika mfululizo wa semina maalum za uandishi wa habari, hivi karibuni zitafuata semina za upigaji wa picha.

Kumbuka kuwa Atabatu Abbasiyya tukufu hutoa semina za mambo tofauti kwa lengo la kukuza uwezo wa watumishi wake wa vitengo, vituo na taasisi zilizo chini yake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: