Kuendelea na ratiba ya kufundisha watumishi wa shule

Maoni katika picha
Kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinaendelea na ratiba ya kufundisha watumishi wa shule za Al-Ameed, kuhusu uandaaji wa somo, warsha ya leo imepewa jina la (Kujenga nadhariya na utekelezaji wake kimalezi), chini ya ukufunzi wa Dokta Hassan Jadhili, amezungumza kuhusu mtazamo wa nadhariya hiyo na athari zake kielimu na utekelezwaji wake kivitendo.

Warsha hii ni sehemu ya kujenga uwezo wa walimu wa shule za Al-Ameed.

Kumbuka kuwa kitengo cha malezi na elimu ya juu kinaendelea kutoa semina na warsha kwa watumishi wake, kwa lengo la kuwajengea uwezo na kukuza viwango vyao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: