Atabatu Abbasiyya tukufu inatangaza kifo cha mtumishi wake

Maoni katika picha
Kwa majonzi na huzuni kubwa uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unatangaza kifo cha mtumishi wa Abulfadhil Abbasi (a.s) Mheshimiwa Shekh Mahmudu Abdu-Ali Aljaburi Albagdadi, aliye fariki leo Jumanne asubuhi, tunaipa pole familia yake na marafiki zake wote, tunamuomba Mwenyezi Mungu amuweke katika rehema yake na amfufue pamoja na Muhammad na kizazi chake kitakasifu.

Marehemu alikuwa ni mtumishi wa Abulfadhil Abbasi (a.s), katika kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: