Ofisi ya Sayyid Sistani imetoa nyaraka za nyakati za miezi miandamo na matukio muhimu ya mwaka 1443h

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani imetoa nyaraka maalum zinazo onyesha nyakati za miezi miandamo na matukio ya mwaka 1443h.

Pamoja na kalenda ya matarajio ya uandamaji wa miezi na ufafanuzi wa katukio muhimu ki-anga na kihistoria pamoja na nyakati za kupatwa kwa mwezi na jua. Kusoma nyaraka hizo fungua toghuti ifuatayo:

https://www.sistani.org/arabic/archive/26532/
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: