Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya unatoa salam za pongezi kwa walii wa Mwenyezi Mungu Imamu Mahadi (a.f) na Maraajii watukufu na wanachuoni pamoja na waislamu wote duniani, kufuatia kuingia sikukuu tukufu ya Idul-Adh-ha, Mwenyezi Mungu airudishe tena kwa waislamu wakiwa salama na afya, tunaliombea taifa letu amani na utulivu na aondoe kila aina ya shari, kulu a’ami wa antum bi-alfi khair.