Watumishi wa kitengo cha majengo ya kihandisi wameanza ujenzi wa jengo la (Fakhru-Mukhadaraat)

Maoni katika picha
Mafundi wa kitengo cha majengo ya kihandisi wameanza ujenzi wa jengo la (Fakhru-Mukhadiraat) chini ya Atabatu Abbasiyya katika mkoa wa Najafu.

Mhandisi mkazi Ali Muhammad Hussein amesema: “Mradi huo upo katika mtaa wa Amiin, ni jengo la ghorofa nne pamoja na tabaka la chini”. Akaongeza kuwa: “Mradi wote unajumla ya mita (660)”.

Akasema: “Hivi sasa tupo katika hatua ya kujenga msingi, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tunatarajia kukamilisha mradi ndani ya muda uliopangwa”.

Kumbuka kuwa kitengo cha majengo ya kihandisi, ni moja ya vitengo muhimu katika Atabatu Abbasiyya kutokana na kazi kubwa kinayo fanya ya ujenzi wa miradi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: