Matarajio ya ofisi ya Sayyid Sistani ya kuandama kwa mwezi mtukufu wa Muharam

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani, kutokana na kurasa za nyakati za miezi miandamo ya mwaka 1443h, muezi muandamo wa Muharam unatarajiwa kuonekana bayana jioni ya Jumatatu mwizi (29 Dhulhijjah 1442h) sawa na tarehe (9 Agosti 2021m) wakati wa kuzama jua katika anga la mji wa Najafu saa 12:52 jioni.

Katika utangulizi wa kurasa imeandikwa kuwa: “Kurasa hizo haziwakilishi rai ya Marjaa Dini mkuu, bali zinatokana na mitazamo ya elimu ya anga, kwa sababu mwanzo wa mwezi hutegemea kuandama kwa mwezi kisheria, hivyo tunawaomba waislamu wote waendelee kufuatilia muandamo wa mwezi na kutupa taarifa za kuonekana kwa mwezi muandamo pale watakapo uona”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: