Maoni katika picha
Amebainisha mambo mengi muhimu wanayo takiwa kupambika nayo wahadhiri na kuyazingatia, kwani wanawakilisha ujumbe wa Imamu Hussein (a.s), na wanaeleza uhalisia wa yaliyotokea kwa Imamu Hussein (a.s), na kubainisha utukufu wake kama ulivyo tajwa katika historia ya babu yake na baba yake (a.s).