Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel inaendesha semina ya fani za uzungumzaji

Maoni katika picha
Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel chini ya kitengo cha Atabatu Abbasiyya tukufu inaendesha semina maalum kwa vijana wa jumuiya.

Mkufunzi wa semina Ustadh Nasoro Abdulhussein Alkhafaaji kutoka kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu, amesema: “Umuhimu wa fani za kuongea huwa sababu ya kufanikiwa kwa mhadhara na kueleweka kwa urahisi” akaongeza kuwa: “Semina ilikua na mada nyingi, miongoni mwa mada hizo ni, misingi ya khutuba yenye mafanikio, njia za kuwasilisha khutuba, vitugani hufanya maneno yawe na athari?”.

Kumbuka kuwa jumuiya ya Skaut ya Alkafeel chini ya kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, huwapa semina wanachama wake ndani ya kipindi chote cha mwaka, katika fani mbalimbali kulingana na kiwango cha uwezo wao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: