Kwa majonzi na huzuni kubwa uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unatoa salamu za rambirambi kwa kufiwa na watumishi wake wawili, bwana Muhandi Salami na Jawadu Khafaji kutoka kitengo cha mahusiano, waliokufa kwa ajili wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuhudumia mazuwaru wa ziara ya Arubainiyya, tunamuomba Mwenyezi Mungu awaweke mahala pema peponi na azipe familia zao subira na uvumilivu.
Hakika sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea