Mafunzo mbalimbali yanayopatikana kwenye Ashura

Maoni katika picha
Miongoni mwa harakati za kielimu zinazofanywa na shule za Al-Ameed na kushiriki kikosi cha Skaut katika shule za Al-Ameed za wavulana kwa kutoa huduma tofauti kwa mazuwaru wanaokuja Karbala kufanya ziara ya Arubaini ya Imamu Hussein (a.s), kupitia maukibu ya Skaut ya mkoa wa Karbala, ambayo kinashiriki pia kitengo cha michezo chini ya idara ya malezi ya mkoa wa Karbala.

Kikosi kimetoa huduma tofauti kwa mazuwaru watukufu, kama sehemu ya majukumu yao, ukizingatia kuwa ndio viongozi wa baadae na watumishi wa taifa na jamii, wanasukumwa kufanya kazi hizo na mapenzi yao kwa Imamu Hussein (a.s) na kupenda kwao kuhudumia watu wanaotoka kila sehemu ya dunina na kuja kufanya ziara.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: