Kesho ni mwezi mosi Rabiul-Awwal kwa mujibu wa ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa, kesho siku ya Ijumaa tarehe (8 Oktoba 2021m), ni mwezi mosi Rabiul-Awwal mwaka 1443 hijiriyya, tunakuombeni dua.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: