Ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria imetangaza kuanza kuswaliwa swala za jamaa

Maoni katika picha
Ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya tukufu siku ya Jumatatu imetangaza, kuanza kuswaliwa swala za jamaa ndani ya ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Imesisitiza ulazima wa kuchukua tahadhari za kujikinga na maambukizi wakati wa swala.

Kumbuka kuwa swala za jamaa zilisitishwa kuswaliwa ndani ya ukumbi wa haram tukufu ya Atabatu Abbasiyya, tangu lilipoanza tatizo la maambukizi ya virusi vya korona mwaka jana.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: