Tambua nchi zitakazoshiriki kwenye kongamano la kimataifa Daru Rasuulul-A’dham (s.a.w.w) awamu ya pili.

Maoni katika picha
Nchi mbalimbali za kiarabu na kiajemi zitashiriki kwenye kongamano la kimataifa Daru Rasuulul-A’dham (w.a.w.w) awamu ya pili, chini ya kauli mbiu isemayo: (Mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu anasoma nyaraka takatifu) litakalo fanywa tarehe (21 – 22 Oktoba) lenye anuani isemayo: (Historia ya Mtume katika Qur’ani tukufu na riwaya sahihi).

Kwa mujibu wa maelezo ya kamati ya maandalizi ya kongamano hilo, idadi ya nchi zitakazo shiriki imefika kumi ukiongeza na Irad, nazo ni: (Misri, Sirya, Lebanon, Moroko, Komoro, Sudani, Baharain, Iran, Malezia, Marekani).

Kumbuka kuwa kongamano litaanza asubuhi ya siku ya Alkhamisi tarehe (21 Oktoba) saa tatu ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan (a.s) katika Atabatu Abbasiyya tukufu, litafanyika kwa siku mbili, mada tofauti za kitafiti zitawasilishwa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: