Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani (d.i) katika mji wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumamosi tunakamilisha mwezi wa Rabiul-Awwal na siku ya Jumapili sawa na tarehe (7/11/2021m) ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul-Aakhar mwaka 1443 hijiriyya, tunaomba dua zenu.