Kwa wapenzi wa Imamu Ridhwa (a.s): Sajili jina lako kumzuru

Maoni katika picha
Idara ya toknolojia ya mitandao chini ya kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza kufanya ziara ya Imamu Ridhwa (a.s) kwa nia ya kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kukidhi haja, kupitia mtandao rasmi wa Atabatu Abbasiyya -ukurasa wa ziara kwa niaba-.

Idara imesema kuwa usajili utafanyika kwa muda wa siku mbili katika ukurasa huo, watumishi wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), watafanya ziara, kusoma dua na kuswali ndani ya malalo ya Imamu Ali bun Mussa Ridwa (a.s) kwa niaba ya watu watakao jisajili.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: