Sisi na umadharibi.. toleo jipya la kituo cha kiislamu na masomo ya kimkakati

Maoni katika picha
Hivi karibuni kituo cha kiislamu na masomo ya kimkakati kimetoa kitabu kiitwacho (sisi na umagharibi), kilicho andikwa na jopo la wasomi na watafiti, nacho ni katika mfululizo wa (mkakati wa kimaarifa) wa kituo.

Kitabu hiki kinaangazia umagharibi, kama sehemu ya kupiga hatua mbele ya kuitambulisha magharibi na ushirikiano wake na mataifa mengine.

Tambua kuwa kituo kina machapisho mengi ya kielimu, yanayolenga kuweka mkakati wa kidini na kitamaduni, kwa kuangalia mazingira ya zamani, sasa na baadae, ili kuboresha na kujikinga na madhara.

Kumbuka kuwa kituo kipo chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: