Kesho ni mwezi mosi Jamadal-Uula kwa mujibu wa ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatatu sawa na tarehe 6 Desemba 2021m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Uula mwaka 1443 hijiriyya, tunakuombeni dua.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: