Kwa majonzi na huzuni kubwa uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unatangaza kifo cha Mhadhiri wa Huseiniyya Mheshimiwa Shekhe Riradhi Bawi (a.s), aliyekufa siku ya Jumatano (3 Jamadal-Uula 1443h) sawa na tarehe (8 Desemba 2021m).
Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi na aipe familia yake Subira na uvumilivu.