Muhimu.. Ziara ya bibi Zainabu (a.s) katika malalo yake wakati wa kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

Maoni katika picha
Mtandao wa kimataifa Alkafeel unatoa wito kwa wapenzi na wafuasi wa Ahlulbait (a.s) kote duniani, wale watakao shindwa kwenda kumzuru bibi Zainabu (a.s) kwa sababu yeyote, wajiandikishe majina yao katika link ifuatayo https://alkafeel.net/zyara/ ili wafanyiwe ziara kwaniaba.

Ibada ya ziara itafanywa ndani ya haram ya bibi Zainabu (a.s) katika mji mkuu wa Sirya Damaskas, pamoja na swala ya ziara na dua kwa wote watakao jiandikisha.

Kumbuka kuwa huduma ya ziara kwa niaba hutolewa na idara ya taaluma ya habari na mitandao, chini ya kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, katika toghuti yake rasmi ya (mtandao wa kimataifa Alkafeel).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: