Kiongozi mkuu wa kikosi cha Abbasi cha wapiganaji amepewa tuzo ya ubora na chuo cha ulinzi wa taifa

Maoni katika picha
Kiongozi mkuu wa kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji Ustadh Maitham Zaidi, amepata digrii ya pili ya mikakati ya ulinzi wa taifa, kutoka chuo cha ulinzi wa taifa/ kitivo cha ulinzi na masomo ya kiaskari.

Kazi yake aliipa jina la (mipango ya kimkakati na nafasi yake katika kuimarisha ulinzi wa taifa la Iraq baada ya mwaka 2003m), imepata daraja la nzuri sana (muntaaz).

Kazi hiyo imefanywa chini ya usimamizi wa Dokta Zaidu Adnaan Muhsin.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: