Wito wa kuhudhuria kwenye warsha ya kielimu kuhusu vyumba tambuzi

Maoni katika picha
Chuo kikuu cha Alkafeel kwa kushirikiana na jumuiya ya kielimu Al-Ameed na hospitali ya rufaa Alkafeel, wanafanya warsha ya kielimu kwa njia ya mtandao na mahudhurio chini ya anuani isemayo: (Ufafanuzi wa mradi wa ujenzi wa vyumba tambuzi), kuanzia saa tatu kesho Jumatano tarehe (29/12/2021m).

Mtoa mada katika warsha hiyo ni Dokta Abdullahi Hamudi Albadri kutoka kamati ya afya ya Dubai, itafanyika ndani ya jengo la utawala la chuo kikuu Alkafeel katika ukumbi wa mikutano.

Unaweza kushiriki kwenye warsha hiyo kupitia jukwaa la (ZOOM) kwa kutumia anuani ifuatayo:

Meeting ID: 6205349582
Password: engkafeel

Kumbuka kuwa washiriki watapewa vyeti vya ushiriki kwa njia ya mtandao mwishoni mwa warsha.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: