Mwezi mosi Jamadal-Aakhar kwa mujibu wa ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu Ashrafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Jumanne tunakamilisha mwezi wa Jamadal-Uula, na siku ya Jumatano sawa na tarehe (5/1/2022m) itakua siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Aakhar, tunakuombeni dua.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: