Muhimu.. Sayyid Mustwafa Dhiyaau-Dini amepewa madaraka ya ukatibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu

Maoni katika picha
Mjumbe wa kamati kuu ya Atabatu Abbasiyya Sayyid Mustwafa Dhiyaau-Dini, amepewa madaraka ya ukatibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu baada ya Mhandisi Muhammad Ashiqar kumaliza muda wake wa uongozi kisheria.

Ameanza kutekeleza jukumu lake asubuhi ya siku ya Jumatatu, (29 Jamadal-Uula 1443h) sawa na tarehe (3 Januari 2022m).

Kumbuka kuwa katibu mkuu aliyemaliza muda wake Mhandisi Muhammad Ashiqar alipewa madaraka hayo mwaka (2016m) na akaidhirishwa kuendelea na nafasi hiyo kwa mara nyingine mwaka (2019m).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: