Shamba boy wa Alkafeel wameandaa miche ya miti ya matunda kwa wakulima

Maoni katika picha
Shamba boy wa Alkafeel chini ya kitengo cha utumishi katika Atabatu Abbasiyya tukufu wameandaa idadi kubwa ya miche ya miti ya matunda inayo endana na msimu wa kilimo pamoja na hali ya hewa ya Iraq.

Imeandaliwa miche ya aina tofauti kwa ubora mkubwa, miongoni mwa miche hiyo ni (michungwa, michenza, milimao, midimu, midimu mitamu, michungwa bora)

  • -
  • -
  • - Miti mingine kama vile: mikomamanda, mipeasi, miepol, mieprikot na mingineyo.

Idara ya shamba mboy imesema kuwa miche hiyo inapatikana kwenye vituo vyote vya mauzo vilivyo chini yake:

Kituo cha kwanza: Karbala mtaa wa Husseiniyya karibu na kituo cha Baidhwaa.

Kituo cha pili: Barabara ya Jamhuriyya karibu na duka la kubadili hela la Rafidina.

Kwa maelezo zaidi ziga namba zifuatazo (07740811332) au (07740811335).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: