Wito wa kushiriki kwa njia ya mtandao kwenye kongamano la Imamu Baaqir (a.s) la nane

Maoni katika picha
Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu, unatoa wito kwa watafiti wa kushiriki kwenye kongamano la Imamu Baaqir (a.s) la nane, litakalo fanywa asubuhi ya kesho siku ya Alkhamisi mwezi (1 Rajabu Aswabu 1443h) saa tatu na nusu asubuhi, ushiriki utakua kwa njia ya mtandao kupitia jukwaa la (Zoom).

Link ya ushiriki ni:

https://us02web.zoom.us/j/3740873005
baada ya kuponyeza link unatakiwa kuingiza neno la siri ambayo ni (1).

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa sumu namba: (07602323337).

Tambua kuwa kuna vyeti vya ushiriki watakavyo pewa washiriki mwishoni mwa kongamano.

Kumbuka kuwa kongamano linafanywa chini ya kauli mbiu isemayo: (Imamu Baaqir -a.s- ni mwezi ung’aao na bendera kuu), chini ya usimamizi wa kitengo cha Dini na kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: