Muhimu: Kesho ni mwezi mosi Rajabu kwa mujibu wa ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu Ashrafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Alkhamisi sawa na tarehe (3 Februari 2022m) ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Rajabu Aswabu mwaka 1443h, tunakuombeni dua.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: