Atabatu Abbasiyya tukufu inafanya shindano la (Mzaliwa wa Alkaaba a.s) la kitamaduni

Maoni katika picha
Kufuatia mazazi matukufu ya kiongozi wa waumini Ali bun Abu Twalib (a.s) katika mwezi wa Rajabu-Aswabu, uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya unafanya shindano la (mzaliwa wa Alkaaba -a.s-) kupitia link ifuatayo:

https://forms.gle/CbtKnjpujPyc729s9

majina ya watu watakao jibu vizuri yanatangazwa jioni ya siku ya Jumamosi (12/02/2022m) washindi kumi watapatikana kupitia kura itakayo pigwa siku ya hafla itakayo fanywa katikati ya haram mbili tukufu siku ya Jumanne (14/02/2022m) saa moja jioni, sharti la kupewa zawadi anatakiwa aliyeshinda awepo kwenye hafla hiyo, na aonyeshe kitambulisho maalumu chenye majina na picha yake, asipo kamilisha masharti hayo atachaguliwa mshindi mwingine.

Tambua kuwa zawadi zilizoandaliwa ni:

  • - Laki mbili na elfu hamsini dinari za Iraq (250,000).
  • - Kifurushi cha udongo kutoka katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Tunawatakia mafanikio mema washiriki wa shindano hili na mengineyo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: