Muhimu.. kesho ni siku ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mujibu wa ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani

Maoni katika picha
Tamko: Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu

Imethibiti kuonekana kwa mwezi muandamo wa Ramadhani siku ya Jumamosi 29/Shabani/1443h, hivyo kesho siku ya Jumapili itakua siku ya kwanza ya mwezi mtukufu.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu awawezeshe waislamu wote kufanya mambo mema, hakika yeye ni mkuu wa kuwafikisha.

Ofisi ya Sayyid Sistani (d.i) – Najafu Ashrafu
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: