Kwa picha: Watu wanamiminika na kuhakikisha uwepo wake mbele ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s)

Maoni katika picha
Mji wa Karbala alasiri ya Alkhamisi umeshuhudia maelfu ya mazuwaru kutoka mikoa tofauti, wanaokuja kumzuru Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) mbele ya malalo zao takatifu katika usiku wa Ijumaa ya tatu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Makundi ya mazuwaru yamekua yakiongezeka kidogo kidogo hadi wakati wa jioni baada ya swala ya Magharibi na Ishaa, wakaendelea kumiminika hadi Alfajiri, eneo lote la haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) limejaa mazuwaru, wahudumu wa Ataba hiyo wameimarisha ulinzi na utoaji wa huduma na kuhakikisha mazuwaru wanafanya ibada zao kwa amani na utulivu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: