Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Sayyid Ali Sistani inawatangazia waumini watukufu wa Iraq na maeneo ya jirani kuwa, kesho siku ya Jumatatu (2 Mei 2022m) tunakamilisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, hivyo siku ya Jumanne (3 Mei 2022m) ndio siku ya kwanza ya Iddil-Fitri sawa na mwezi mosi Shawwal.
Mwenyezi Mungu awape sikukuu njema yenye kheri na baraka waislamu wote.