Atabatu Abbasiyya tukufu yapongeza ulimwengu wa kiislamu kwa mnasaba wa Iddil-Fitri tukufu

Maoni katika picha
Atabatu Abbasiyya inatoa pongezi kwa Imamu wa zama Imamau Mahadi (a.f), na Maraajii watukufu pamoja na waislamu wote kwa kufikiwa na sikukuu ya Iddil-Fitri..

Tunamuomba Mwenyezi Mungu mtukufu akubali funga zetu na ibada zote tulizofanya ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, aurudishe tena mwezi huo kwetu tukiwa wenye afya na amani, na alitunuku taifa letu neema, amani na utulivu, hakika yeye ni mwingi wa kusikia mwingi wa kujibu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: