Idara ya teknolojia ya Habari na mitandao chini ya kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza ufanyaji wa ziara kwa Maimamu wa Baqii (a.s) katika mji wa Madina karibu na kaburi zao tukufu, yeyote anaetaka kufanyiwa ziara kwa niaba asajili jina lake kwenye mtandao huu: http://alkafeel.net/zyara aidha unaweza kujisajili kwa kutumia simu za kisasa (smart phone) zenye program ya (Android) na (ios)…
Ziara hiyo itafanywa na watu wanaojitolea, aidha wataswali rakaa mbili kwa ajili ya kumba haja na kurahisisha mambo