Waziri wa malezi wa Iran Sayyid Yusufu Nuri ametembelea tawi la Atabatu Abbasiyya tukufu katika maonyesho ya Teheran ya vitabu kimataifa.
Waziri ameangalia vitabu na machapisho mbalimbali yaliyopo kwenye tawi la Atabatu Abbasiyya, akapongeza kazi kubwa inayofanywa na Ataba tukufu katika kutumikia Uislamu.
Waziri Nuri amewashukuru wasimamizi na kapongeza utendaji wao.