Barua kwa kaburi.. mlango huo umefunguliwa na tawi la Atabatu Abbasiyya tukufu linaloshiriki kwenye maonyesho ya vitabu kimataifa yanayo endelea jijini Tehran

Maoni katika picha
Tawi la Atabatu Abbasiyya tukufu linalo shiriki kwenye maonyesho ya vitabu jijini Tehran limefungua mlango wa kupokea barua, usemao (barua kwa kaburi).

Wanagawa karatasi maalum kwa watu wanaotaka kuandika barua kwa bwana wa mashahidi na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), tawi la Ataba linachukua jukumu la kuzipeleka Karbala.

Tawi la Ataba linaheshimu na kuzingatia maombi ya kila barua kutokana na umuhimu wake kiroho na kidini kwa wapenzi na wafuasi wa Ahlulbait (a.s).

Tambua kuwa zowezi hilo litaendelea hadi siku ya mwisho ya maonyesho haya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: