Ofisi ya Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Alkhamisi tunakamilisha mwezi mtukufu wa Dhulqaadah, na siku ya Ijumaa tarehe (1/7/2022m) ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Dhulhijjah mwaka 1443h.
Hivyo siku ya Jumapili tarehe 10 mwezi wa saba itakua siku ya kwanza ya Idul-Adha tukufu.