Atabatu Abbasiyya tukufu inatoa mkono wa pongezi kwa kuingia sikukuu ya Iddul-Adh-ha tukufu

Maoni katika picha
Atabatu Abbasiyya tukufu na watumishi wake wote wanatoa mkono wa pongezi kwa Imamu Mahadi (a.f), Maraajii watukufu na waislamu wote wa Iraq na duniani kwa ujumla, kwa kuingia sikukuu tukufu ya Iddul-Adh-ha, tunamuomba Mwenyeizi Mungu apokee ibada za waislamu wote na airudishe tena siku hii tukiwa na afya, tunamuomba Mwenyezi Mungu mtukufu atupe amani na utulivu hakika yeye ni mwingi wa kusikia mwingi wa kujibu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: