Chuo kikuu cha Al-Ameed kimepata nafasi ya juu kwa mujibu wa uchambuzi wa AD Scientific Index

Maoni katika picha
Chuo kikuu cha Al-Ameed kimepata nafasi ya pili katika vyuo vikuu vya Iraq vya serikali na binafsi kwa mujibu wa taasisi ya viwango ya kimataifa AD Scientific Index 2022.

Chuo kipo katika vyuo bora (13) katika jumla ya vyuo (102) vya Iraq, kimepiga hatua kubwa katika sekta ya utafiti na kusambaza tafiti za kielimu vyuoni pamoja na kuzifanyia kazi.

Tambua kuwa chuo kikuu cha Al-Ameed kipo chini ya kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimepata maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: