Muhimu: Jumapili ya kesho ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Muharam kwa mujibu wa ofisi ya Sayyid Sistani

Maoni katika picha
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu

Haijathibiti kuonekana kwa mwezi usiku uliopita katika eneo letu pamoja na juhudu kubwa ya kuutafuta, kwa hiyo Jumapili ya kesho ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Muharam mwaka 1444 hijiriyya.

Ofisi ya Sayyid Sistani – Najafu Ashrafu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: