Wanafunzi wa mradi wa kiongozi wa wasomaji wanahitimisha awamu ya tano

Maoni katika picha
Wanafunzi wa mradi wa kiongozi wa wasomaji wa kitaifa, wamekamilisha awamu ya sita ya semina inayosimamiwa na kituo cha miradi ya Qur’ani chini ya Majmaa ya Qur’ani katika Atabatu Abbasiyya tukufu.

Wanafunzi wamekusanyika na kusoma aya za Qur’ani pamoja na kukumbushana mambo waliyosoma katika awamu tatu za mradi zilizopita.

Wanafunzi wameshukuru Atabatu Abbasiyya na idara ya miradi, kwa kuweka mazingira mazuri ya malezi na usomaji, wakasema kuwa wanatarajia kazi iendelee kwenye miradi mingine yote.

Wanasubiri hafla ya kufunga mradi wa kiongozi wa wasomaji wa kitaifa, itakayo fanywa mwezi wa Rabiul-Awwal.

Kumbuka kuwa kituo cha miradi ya Qur’ani kinajiandaa kuanzisha harakati mpya ya maukibu ya kiongozi wa wasomaji katika siku za ziara ya Arubaini ya Imamu Hussein (a.s), makao makuu yake yatakua karibu na chuo kikuu cha Al-Ameed katika mji wa Karbala.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: