Skaut ya Alkafeel imeandaa hema kwa ajili ya wanafunzi waliokubaliwa kujiunga na Skaut

Maoni katika picha
Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel imeandaa hema kwa jina la Imamu Zainul-Aabidina (a.s) kwa ajili ya wanafunzi waliokubaliwa kujiunga na Skaut kwenye jengo la Shekhe Kuleini kwa ushiriki wa wanafunzi 140.

Msimamizi wa Hema hilo bwana Abbasi Muhsin amesema: “Hema hili wanashiriki wanafunzi 140, kutakua na ratiba ya kumzuru Imamu Ali (a.s) na wanachuoni, mafunzo maalum na vikao vya majadiliano”.

Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel chini ya idara ya watoto na makuzi katika Atabatu Abbasiyya tukufu huandaa hema kwa ajili ya mazowezi ya wajumbe wake na watu wa nje.

Kuhusu lengo la hema amebainisha kuwa “Lengo la kuandaa ratiba hizi za kuweka mahema ni kuandaa kizazi cha watu wanaojitambua wenye uwezo wa kubeba majukumu”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: