Mradi wa kujifunza usomaji sahihi wa Qur’ani kwa mazuwaru chini ya ratiba ya kuendeleza elimu katika njia ya Yaa Hussein [b/].
Mazuwaru wameshiriki kwenye mashindano ya kutoa majibu sahihi jambo ambalo linaonyesha ukuaji wa utamaduni wa kusoma Qur’ani kwa mazuwaru.
Mashindano ni moja ya vipengele mbalimbali vinavyo fanywa katika mradi huo, yanalenga kuimarisha utamaduni wa kusoma Qur’ani kwa mazuwaru wanaoenda kwa bwana wa mashahidi (a.s).
Mradi wa kufundisha usomaji sahihi wa Qur’ani ni moja ya vipengele muhimu katika mradi wa kuendeleza elimu unaofanywa na Maahadi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya.