Idara ya mitambo ya kutoa tahadhari na zimamoto inafanya ukarabati karibu na ziara ya Arubaini

Maoni katika picha
Idara inayosimamia mitambo ya kutoa tahadhari na zimamoto inafanya ukarabati mkubwa wa mitambo ya Atabatu Abbasiyya tukufu na maeneo yaliyo chini yake na kuiweka tayali kwa kutoa huduma.

Kiongozi wa idara hiyo chini ya kitengo cha ukarabati na ujenzi wa kihandisi Muhammad Abdurasuul Hussein amesema “Tumetumia wataalam wote wa kitengo chetu kukarabati mitambo ya kutoa tahadhari na zimamoto kwenye vituo vyote”.

Akaongeza kuwa “Vituo vyote vinavyo tumiwa na mazuwaru wa Abu Abdillahi Hussein (a.s) vya ndani na nje, vimefanyiwa matengenezo na viko tayali kutoa huduma wakati wowote, Allah atuepushie”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: