Ataba yagawa sahani za chakula milioni kwa mazuwaru

Atabatu Abbasiyya tukufu imegawa sahani za chakula milioni moja kwa mazuwaru wa Arubaini kuanzia tarehe 1 – 14 Safar.

Migahawa ya Atabatu Abbasiyya tukufu wa ndani na nje ndio yenye jukumu la kugawa chakula katika barabara ya Yaa Hussein.

Aidha wamegawa maelfu ya vipande vya barafu, mahodhi ya maji, juisi, halwa (pipi) na matunda.

Bado wanaendelea kugawa kila siku hadi mwisho wa ziara, kiwango cha ugawaji kinaongezeka siku baada ya siku kutokana na kuongezeka kwa idadi ya mazuwaru.

relatedinner
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: