Picha ya juu iliyopigwa na kituo cha Habari kilicho chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, inaonyesha matembezi ya mazuwaru ndani ya mji wa Karbala na kwenye malango yake makuu.
Mji mtukufu wa Karbala unashuhudia kuwasili mamilioni ya mazuwaru wa kiiraq na kigeni wanaokuja kufanya ziara ya Arubaini kesho mwezi 20 Safar 1444h sawa na tarehe 19 Septemba 2022m.