Atabatu Abbasiyya tukufu imesema: Idadi ya mazuwaru wa Arubaini ya Imamu Hussein (a.s) ni zaidi ya milioni 21

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu baada ya Adhuhuri ya leo siku ya Jumamosi mwezi (20 Safar 1444h) sawa na tarehe (17 Septemba 2022m), umetoa tamko rasmi linaloonyesha idadi ya mazuwaru waliosajiliwa kupitia mitambo ya kuhesabu watu kuwa ni milioni ishirini na moja laki moja tisini na nane elfu mia sita na arubaini (21,198,640).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: