Atabatu Abbasiyya tukufu kila usiku wa Ijumaa hupokea mamia kwa maelfu ya mazuwaru na huimarisha ulinzi na utoaji wa huduma.
Vitengo vya Ataba husimamia matembezi ya mazuwaru katika malalo takatifu ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Wahudumu wa malalo takatifu hufanya kila wawezalo katika kuhudumia mazuwaru na kuwapa kila kinacho hitajika katika kurahisisha ziara ya usiku wa Ijumaa.